Thursday, January 29, 2009

SNOOP PAMOJA NA WIZZY


Lil Wayne and Snoop Dogg wanatarajia kutoka na documentary mpya itakayojulikana kwa jina la “Crips and Bloods" kaa tayari kujua zaidi kuhusu inshu hiyo mambo yakiwa tayari kupitia hapa hapa MUZIKI MNENE.

No comments: