Saturday, January 10, 2009

NEW BILLLICANAS



Ukumbi wa Billicana katika mwonekano mpya kwa nje, hii ni baada ya kufunguliwa mwanzoni mwa mwezi huu wa kwanza tangu ilipofungwa mwishoni mwa mwaka jana kwaajili ya matengenezo zaidi.

No comments: