Monday, January 26, 2009

KANYE AJIVUNIA OBAMA



Kanye West amesema anajivunia kuwa mmoja kati ya wasanii walitumbuiza siku ya kuapishwa kwa Rais wa kwanza mweusi wa USA, Kanye amenukuliwa akisema "Natamani marehemu Mama angekuwepo na kuona tukio hili"

No comments: