
Bow Wow akiwa katika pozi na shemeji yake Ashanti, Ashanti ni girlfriend wa Nelly ambapo Nelly amekuwa akilalamika nia yake ni kufunga ndoa na kimwana huyo lakini mamayake na Ashanti ndio imekuwa kikwazo kikubwa kutokana na kumwabia binti yake asubiri.
No comments:
Post a Comment