Baada ya kimya cha muda flani mshkaji kutoka crew ya SHAROBARO Bab Lee anatarajia kurejea upya kwenye game akiwa na nguvu full 100% maujuzi, nilipokutana na Baba lee mitaa flani ya Posta kwenye mjengo flani amenidokeza kuwa kwa kuanzia amesha achia kitu kinachojulikan kwa jina la "Chagua Mmoja" ambayo video yake imeanza kuonekana wiki chache zilizopita.
Haina noma mwana mimi pamoja na watu wangu wa MUZIKIMNENE tunakusubiri kwa hamu na tunakwambia WELCOME BACK
No comments:
Post a Comment