Monday, January 26, 2009

AKON ADANGANYA UMRI WAKE



Katika kudhihirisha ule msemo wa "Age ain't nothing but a number" Msanii Akon alitoa kali baada ya kudai kuwa yeye hua hafatilii maswala ya miaka yake na hapendi kujua umri wake kwa sasa na sababu kuwa hapendi kujiona akizeeka wakati ndio kwaaza anaanza kupata mafanikio

Katika cheti chake cha kuzaliwa kinaonyesha kuwa Akon anamiaka 31 lakini yeye anasema anajiona ni kijana wa miaka 21 na bado ataendelea kujiona kijana wa miaka hiyo (21) kwa miaka 10 ijayo.

No comments: