Thursday, January 29, 2009
PAMOJA SANA
NIMEWASOMA WATU WANGU WOTE NA NINASHUKURU KWA MAONI YENU..ENDELEENI KUNIMUVUZISHIA KUPITIA haramba29@yahoo.co.uk
SNOOP PAMOJA NA WIZZY
Monday, January 26, 2009
KANYE AJIVUNIA OBAMA
YOUNG JEEZY FACE 2 FACE NA MBAYA WAKE

Young Jeezy amekubali mwaliko wa Bil O’Reilly kuweza kutokea kwenye show yake japo mtangzaji huyo aliwaponda Jeezy na Jay Z walipokuwa wakipafom wimbo wa “My President,” ambapo yeye aliwaita kuwa “a rant that offended people” na kusema kuwa hata Obama yawezekan hakufurahishwa na ujumbe wa wimbo huo. Lkini kwa kuonyesha kuwa Young yupo strong kwa kile alichokuwa akikiimba watu hao watakuwa katika show moja wakichati
AKON ADANGANYA UMRI WAKE

Katika kudhihirisha ule msemo wa "Age ain't nothing but a number" Msanii Akon alitoa kali baada ya kudai kuwa yeye hua hafatilii maswala ya miaka yake na hapendi kujua umri wake kwa sasa na sababu kuwa hapendi kujiona akizeeka wakati ndio kwaaza anaanza kupata mafanikio
Katika cheti chake cha kuzaliwa kinaonyesha kuwa Akon anamiaka 31 lakini yeye anasema anajiona ni kijana wa miaka 21 na bado ataendelea kujiona kijana wa miaka hiyo (21) kwa miaka 10 ijayo.
BAB LEE KWENYE GAME TENA
Baada ya kimya cha muda flani mshkaji kutoka crew ya SHAROBARO Bab Lee anatarajia kurejea upya kwenye game akiwa na nguvu full 100% maujuzi, nilipokutana na Baba lee mitaa flani ya Posta kwenye mjengo flani amenidokeza kuwa kwa kuanzia amesha achia kitu kinachojulikan kwa jina la "Chagua Mmoja" ambayo video yake imeanza kuonekana wiki chache zilizopita.
Haina noma mwana mimi pamoja na watu wangu wa MUZIKIMNENE tunakusubiri kwa hamu na tunakwambia WELCOME BACK
Tuesday, January 20, 2009
OBAMA
BOW WOW & ASHANTI
Saturday, January 10, 2009
NEW BILLLICANAS
Monday, January 5, 2009
Subscribe to:
Posts (Atom)