Sunday, July 5, 2009

Fab kutua Barca kwa Euro milioni 46



Kwa taarifa zilizosambaa leo kwenye mitandao barani Ulaya, inadaiwa klabu ya Arsenal watakuwa tayari kumwachia kiongo na naodha wao Cesc Fabregas aweze kwenda Barca ikiwa tu mabingwa hao wa kombe la klabu bingwa Ulaya watatoa dau la Euro milioni 46.

No comments: