
JOSE Mayanja maarufu kwa jina la Jose Chameleone mwanamuziki maarufu wa Uganda anatarajia kuanzisha taasasi itakayo jihusisha na malezi ya watoto.
Taarifa kutoka vyanzo vya habari nchini humo zimesema Chamileone ameonyesha kuwa na nia hiyo ikiwa ni katika kurejesha kwa jamii kile walichompa yeye na hivi karibuni alifanya alambee na kukusanya Mil. 2 katika eneo la Naguru.
Hii inafuatia baada ya wasanii wengine nchini humo Iryn Namubiru na Angella Katatumba walioanzisha taasisi hivi karibuni.
Wasanii wa kibongo mpo hapo!!!
No comments:
Post a Comment