Tuesday, July 7, 2009

RONALDO ATUA MADRID RASMIIIIII



Hatimaye C.Ronaldo ametua katika klabu ya Real Madrid. Hapa ni alipokuwa akitambulishwa kwenye umati unaokadiriwa kufika 80,000 na kuvunja rekodi iliyokuwa ikishikiliwa na Diego Maradona kwa kukaribishwa na watu 75,000.

No comments: