Friday, July 10, 2009

NASHUKURU MDAU WANGU KWA MAONI YAKO

Nashukuru, kuna mdau mmoja amabye hakupenda kujitambulisha kwa jina leo hii asubuhi alinipigia simu na tukaanza kujadiri kuhusu moja kati ya makala yangu ya kwenye GAZETI LA TANZANIA DAIMA niliyokuwa nazungumzia muziki, kwakweli tuliongea kwa kirefu sana na ka mujibu wa maongezi ya huyo mtu naonekana kweli ni mfuatiliaji wa muziki.

Nashukuru mhwshimwa kama utasoma haya maneno yangu, na ninaomba endelea kufuatilia mtandao wangu nakazi zangu na kama kuna chochote unachohisi nimefanya ndivyo sivyo au ungependa kunipongeza, cheki nami kupitia 0713 393542 au kwa email haramba29@yahoo.co.uk

ni wako JOHN JOSEPH HARAMBA wa muzikimnene.blogspot.com

No comments: