Tuesday, March 23, 2010

SIMBA, MABINGWA WA TANZANIA



KIKOSI CHA SIMBA AMBACHO KIMETWA UBINGWA WA TANZANIA BARA MWAKA 2010.

MZAMBIA AKIANGALIA MASHABIKI


KOCHA MZAMBIA PATRICK PHIRI AKIWA NA MENEJA WA SIMBA INNOCENT NJOVU WAKILONGA MAMBO MAWILI MATATU...PHIRI AMEKUWA ANI KOCHA MWENYE MAFANIKIO KATIKA KLABU YA SIMBA KILA ANAPOTUA TANZANIA KUKIKOA KIKOSI HICHO






imeandikwa na John Joseph

KIDEDEAAA


MASHABIKI WA MSIMBAZI WAKISHANGILIA UBINGWA MARA BAADA YA KUIFUNGA AZAM NA KUWAWEZESHA KUTANGAZA UBINGWA HATA KABLA YA KUMALIZIKA KWA LIGI WAKIWA NA MECHI MBILI MKONONI

Sunday, March 14, 2010

TUKISHUUDIA MTANGANGE



Mtu mzima, John Joseph Haramba nikiwa na members wenzangu wa Global katika tukishuhudia mitanange ya NSSF. Mimi ni wa kwanza kulia nikifuatiwa na Samirah Phillip, Theodora Mbwana na Leah Kweka

KIKOSI CHA MAUAJI



Kikosi cha Global kikiwa kabla ya kuanza mtanange kwenye mchezo mmoja katika ligi ya NSSF mwaka 2010.

ORIGINAL AU MCHINA??


Dada zetu inabidi tuwe makini, hivi kweli haya ni maumbo yake kweli auuuu